Cover art for Bongo Hiphop by Fid Q

Bongo Hiphop

1 viewer24.9K views

Bongo Hiphop Lyrics

Kama kukupenda wewe ni dhambi.. basi shetani yu nami/ na kamwe sintonyea kambi ili niwabambe dukani/
For a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James Frey/
Na watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokee/
Waufuate mkumbo huu wa wasomi.. wa midundo na mistari/ ukiwa na nyundo mkononi.. ni rahisi kupigilia msumari/

Sio tu bongo.. mpaka Ng'ambo hakuna uhuru wa habari/ kuna uhuru wa mwenye chombo.. mitambo na mwenye mali/
Kujifanya hawasikii.. haiwasaidii.. wala haiwajengi/ unachosema ni.. kamwe IPP haitompinga Mengi/
Unawakumbusha wazazi wa uswazi.. chati ya uteja imeingia/ na Mapusha wanauza drugs ili walishe familia/
Mbaya.. kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabati/ mbaya zaidi ni kuwa na ndugu.. halafu kichwa maji/
Amka bongo lala.. hiphop sio ufala.. ni lazima uifate/
Uaminifu ni kama mshahara.. fanya kazi ili uupate


Chorus:
Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2







VERSE 3:
Mapenzi ya sikuhizi.. bila kugombana yanakua hayana stimu/
Pia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu/
Inanipa wazimu.. kusikia kimwana haujaachana na Hasheem/
Na bado mnawasiliana..una mpango wa kuchanganya timu?/
Nakupenda hiphop.. ndo maana ninarap ile mbaya/
Naspit fire bila hennessy.. au kula kaya/

I want my art to be my legacy.. kabla sijaretire.. waanze nigwaya hawa enemies.. anyways NI HAYO TU/
Beef huletwa na wivu.. na wivu sio hiphop/
MC nayetaka BEEF amlete Maza ake kwa strip club/
BONGO FLAVA ananipima.. kama nimeiva kimasomo/
Anagundua mie ni dreamer pia ni believer zaidi ya Common/
Cha ajabu hunitempt... ili nikuache HIPHOP/
Anaahidi atanipa GOOD SEX.. wewe unanipa TRUE LOVE/
Hajui who's next.. wewe unanipa tu mashavu/
Nikipaa.. anaumia.. anatamani nishuke chini/

Nami sikutamani USTAA.. USTAA ulinitamani mimi/
Nilichohitaji.. ni kuitumia hii sanaa ili nishee na nyinyi/
Hii zawadi.. niliyopewa na MPAJI ninayemuamini/
MPAJI aliyenivika taji ilimradi incharge ni win/
Na ninaamini.. kuna muda huongea kwa kupitia mimi/
Na hunisamehe ninapokosea.. ni vyema mkanizoea nyinyi/
Naweza kuona unachotaka au atakachonionyesha/
Nikitoa ngoma.. wanaitaka.. wanaipata.. coz wewe ni special




Chorus:
Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame/
Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2

How to Format Lyrics:

  • Type out all lyrics, even repeating song parts like the chorus
  • Lyrics should be broken down into individual lines
  • Use section headers above different song parts like [Verse], [Chorus], etc.
  • Use italics (<i>lyric</i>) and bold (<b>lyric</b>) to distinguish between different vocalists in the same song part
  • If you don’t understand a lyric, use [?]

To learn more, check out our transcription guide or visit our transcribers forum

About

Genius Annotation

Q&A

Find answers to frequently asked questions about the song and explore its deeper meaning

Credits
Featuring
Writer
Tags
Comments